Fursa na Nafasi
Fursa
Fursa zilizopo kwa sasa
Hatua tatu
JINSI YA KUTUMA OMBI
Tumejaribu vilivyo kufanya mchakato huu kuwa rahisi. Tazama fursa zilizo wazi, angalia iwapo unakidhi vigezo, kisha tuma ombi mtandaoni au katika kituo cha Sanara kilicho karibu nawe.
1
Tazama fursa
Pitia fursa zilizo wazi kwa sasa. Kutoka warsha fupi hadi bidhaa za ufadhili za muda mrefu, na fursa mpya huwepo mara kwa mara.
2
Angalia vigezo
Fursa nyingi ziko wazi kwa vijana wenye umri kati ya miaka18 hadi 35, wanaofanya kazi katika mitindo, sekta ya sauti na picha, au maonesho ya moja kwa moja, katika mojawapo ya kaunti sita lengwa: Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru, Kakamega au Turkana. Kila tangazo litaeleza vigezo vyake mahususi.
3
Tuma ombi
Wasilisha ombi lako mtandaoni au tembelea kituo cha Sanara iwapo ungependa kuzungumza na mtu kwanza. Timu zetu katika kila kaunti zinaweza kukupa msaada katika mchakato huo.
